Application ya jumuiya ya galilaya inayopatikana KKKT KINYEREZI.
KKKT KINYEREZI ni mfumo wa kanisa unaowezesha washarika kupata taarifa kupitia simu janja zao kiganjani kwa urahisi na haraka