Dalali Makini
Dalali Makini App inakurahisishia kutafuta chumba, nyumba, kiwanja, shamba, frem , usafiri, vyombo vya ndani , usafiri na mambo mengine muhimu ukiwa popote kupitia simu yako tu, pia unaweza kutumia kama dalali kuweka matangazo yako bure !