Twenzao
Umewahi kuwa unaendesha gari binafsi ukiwa na siti tupu ukatamani ungepata abiria wa kukuchangia gharama za mafuta? Umewahi kuachwa na basi ukatamani ungeweza kupata usafiri wa gari binafsi kwa namna rahisi na kwa bei isiyozidi ya basi? Jibu lako ni "Twenzao", app inayokuunganisha dereva wa gari bi