Found 20 search results.
Habarika TV : Angalia Mpira
Tazama Mpira LIVE kupitia simu yako mahala popote duniani, Burudani ya michezo ya ligi kuu, ligi ya mabingwa mechi za Simba, yanga na mechi nyingine nyingi
Udaku Daily Tanzania
Download Udaku Daily Tanzania ili upate habari za kamili na za upesi kwa smartphone yako kupitia notifications pindi tu tunapochapisha taarifa. Pata habari zote za Udaku wa mastar mbalimbali kutoka ndani na nje ya Bongo. Ubuyu, Skendo za maceleb na Umbea wote wa wasanii wa bongoflava na BongoMovie
Kuza Business
Kuza Business ni aplikesheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo, madeni na matumizi. Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo; - Kurekodi bidhaa zako yani Stock - Kurekodi Mauzo Yako - Kurekod
Global App
GLOBAL PUBLISHERS, Kupitia App yake mpya ya GLOBAL APP, imekurahisishia upataji na usomaji wa Habari za Kila Siku kuhusu Mastaa wa Bongo, Watu Maarufu, Viongozi, zikiwemo Habari za Magazeti ya Tanzania za kila siku asubuhi, REAKING NEWS mara tu zinapotokea kwa kupokea Notification kwenye simu yako
Absalom Family App
Absalom Family App ni programu inayokupa ufikiaji wa sinema na msimu wa tamthilia moja kwa moja kwenye simu yako au kifaa kingine cha elektroniki. Programu hii imeundwa kwa ajili ya wapenzi wa burudani na inatoa uzoefu wa kipekee wa kufurahia sinema na tamthilia bora kutoka sehemu mbalimbali za duni
Trafiki Faini
Pakua application hii ili uweze kuangalia fine ya gari yako au leseni yako kwa urahisi zaid na haraka na pia application hii itakusaidia kujaza form ya loss report kama umepoteza mali yako.
Mch. Mbarikiwa Mwakipesile
KIKOSI KAZI CHA INJILI UPENTEKOSTE WA KIZAMANI KATIKA SIKU ZA MWISHO JESHI LA KUJENGA UFALME WA MUNGU (JKUM) HAPA NI CHUMA KUNOA CHUMA (MIT 27:17) Kikosi kazi cha injili ni kanisa linaloongozwa na kusimamiwa na Mch. Mbarikiwa mwakipesile. Makao makuu ya kanisa yako Mbeya mjini. Tunahubiri inji
Tenzi za Rohoni (Toleo Jipya).
Tenzi za Rohoni Toleo Jipya Kimeboreshwa sasa Unaweza kusoma Nyimbo za injili 161 bila kuwa na intaneti (Offline) App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote. App hii ina nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi
Sifa za Simu
Application hii itakuwezesha kutambua kila aina ya uwezo wa simu yako. Njia rahisi ya kukagua sifa usizozijua
Nyimbo za injili
Nyimbo za injili za kiswahili ni mkusanyiko wa audio wa nyimbo za kusifu pamoja na kuabudu zenye makusudio ya kuinua na kukuza imani yako mbele ya bwana yesu
check fine and loss report
hii app inakusaidia kuangalia faini ya chombo chako cha moto na kutoa taarifa ya mali yako iliyopotea bila kwenda kituo cha polisi
SmartShop SUPPLIERS
Rahisisha Biashara Yako SmartShop SUPPLIERS is both; B2B and B2C e-commerce platform; DIGITIZING LOCAL SUPPLY CHAINS.
Kiasi
KUHUSU KIASI! Aplikesheni ya Kiasi, imeanzishwa mahususi kwaajili ya kuwawezesha Watanzania kutimiza malengo yao ya kifedha kwa kuweka kidogo kidogo. Kwa kutumia Kiasi unaweza kutimiza malengo yako pamoja na rafiki yako. Utaweza kuweka fedha kutimiza malengo yako kupitia simu yako ya mkononi. Apl
Matumizi
Ni app inayotumika kupanga na kufuatilia matumizi yako ya kila siku. Utaweza kupanga bajeti ya mwezi na kutunza raarifa za mapato na matumizi. Itakusaidia kuwa na nidhamu ya pesa na kukuwezesha kupangilia vyema matumizi yako. Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika wakat
Nyota zetu
Unahitaji kujua nini kimejiri katika nyota yako? Basi app hii ya "Nyota zetu" ni maalumu kwa ajili yako, kukujuza na kukupa utabiri sahihi wa yale yanayojiri katika nyota yako. Nyota zetu App si kwa ajili ya utabiri wa mpira au utabiri wa mechi. App hii imetolewa na Dirajumla kupitia https://diraju
Agiza
Agiza ni app inayokurahisishia wewe kuagiza bidhaa kutoka sehemu tofauti na mitandao tofauti , tunakuhakikishia ubora wa bidhaa unayoiagiza na tunalinda usalama wa pesa yako
SwahiliesPay
With Swahilies Pay you can request payments from your customers and get paid by mobile money, USSD and Bank accounts. Swahilies enable people to set and achieve financial goals. With Swahilies app you can; - buy products and services overtime by layaway(Unaweza Kulipia Kidogo Kidogo Bidhaa Na Hudum
Ndoa ya kiislam
Mwanaume au mwanamke unaehitaji kuingia katika ndoa, je unazijua adabu na taratibu za kudumisha ndoa yako! Ikiwa hufahamu, basi App hii ya ndoa yangu / App ya ndoa na mahusiano inakupa elimu bure juu ya namna gani unaweza kudumisha ndoa yako na kuifanya iwe yenye furaha, amani na upendo. Mafunzo yan
Tunzaa
NJIA SALAMA YA KUNUNUA BIDHAA NA HUDUMA KWA KULIPIA KIDOGO KIDOGO KUTOKA KWA WAFANYABIASHARA MBALIMBALI. Tunzaa inakuwezesha kufanya malipo ya bidhaa na huduma kwa kiwango kidogo cha pesa kwa kasi yako mwenyewe moja kwa moja kutoka kwenye simu yako ya mkononi ili iwe rahisi kufikia malengo na mipan
Tusome Pamoja.
Program hii ifanye iwekama rafiki yako kwani inakusogezea vitabu vingi kiganjani mwako popote ulipo Tusome pamoja tujifunze pamoja,asante.