Barakians
Mtumiaji anaweza kutunza taarifa za manunuzi, mauzo, stock, madeni, matumizi; kuangalia takwimu za biashara yake; kutoa risiti; kutengeneza ripoti ya biashara; kutuma SMS kwa wadeni wake na kupiga simu kwa wateja pamoja na suppliers. Pia mtumiaji anaweza kupata taarifa za biashara yake hata baada ya