Umoja Radio App
Taasisi yoyote ile popote pale ipatikanapo inaundwa kwenye misingi ya sheria zinazotoa muongozo kwa ufanisi wa shughuli zake. Ili kuepukana na hali ya kupapasa papasa au kubahatisha katika majukumu tuliyokabidhiwa inatubidi tuzingatie sheria ambayo ndiyo dira ya kazi yetu. Huu ndio mtazamo unao maon