Kitabu cha Tumwabudu Mungu Wetu cha KKKT chenye 1. Nyimbo 2. Liturgia 3. Masomo ya siku kwenye Kalenda 4. Muongozo wa Nyumba kwa Nyumba
Application ya jumuiya ya Galilaya inayopatikana KINYEREZI kusaidai washarika wa jumuiya ya Galilya.
KKKT KINYEREZI ni mfumo wa kanisa unaowezesha washarika kupata taarifa kupitia simu janja zao kiganjani kwa urahisi na haraka.