Kitabu cha Tumwabudu Mungu Wetu cha KKKT chenye 1. Nyimbo 2. Liturgia 3. Masomo ya siku kwenye Kalenda 4. Muongozo wa Nyumba kwa Nyumba
KKKT KINYEREZI ni mfumo wa kanisa unaowezesha washarika kupata taarifa kupitia simu janja zao kiganjani kwa urahisi na haraka.