Kuza Business
Kuza Business ni aplikesheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo na matumizi. Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo; - Kurekodi bidhaa zako yani Stock - Kurekodi Mauzo Yako - Kurekodi Matumi