Momoa
Momoa ni app inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake. Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi, sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu. Kupitia app ya Momoa: Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (Ambapo anakua kapokea cash) Wakala anaweza kurek