Bezaleli
Bezaleli ni mtandao unoliunganisha Kanisa la TAG kuanzia ngazi ya washirika, wachungaji, Kanisa la mahali pamoja, sehemu (section), majimbo, kanda hadi Kanisa la Taifa. Mawasiliano Bezaleli inarahisisha upatikanai wa taarifa rasmi za Kanisa kwa washirika na wachungaji katika ngazi zote. Makusanyo