TanTaxi Driver icon

TanTaxi Driver

Tan Taxi
Free
1,000+ downloads

About TanTaxi Driver

TanTaxi Tanzania ni kampuni yako rafiki inayokuletea fursa ya kujiongezea kipato kama Dereva wa Taxi ZANZIBAR.

Jinsi ya kujiunga kwenye app ya TanTaxi:

1. Pakua app ya TanTaxi kwa simu yako Janja kutoka Play Store au App Store.
2. Jisajili kwa kuingiza namba zako za simu au anuani yako ya barua pepe, na password.
3. Ingiza nyaraka kuhusu gari lako na nyaraka zako za udereva.
4. Mwisho, tutembelee ofisini kwetu tukupe maelekezo ya jinsi ya kutumia app ya TanTaxi na jinsi ya kutengeneza pesa kama bosi!

Kwa maelezo zaidi

Tupigie:

+255 777 115 054
+255 777 431 665

Au tuandikie:

- support@tantaxitanzania.com
- general@tantaxitanzania.com

Pia tunapatikana:

Website https://www.tantaxitanzania.com
Facebook: https://m.facebook.com/TanTaxi-Tanzania-274653049923819/
Instagram:
https://www.instagram.com/tantaxi_tanzania/p/BoMPp3Uh0OF/?utm_source=ig_share_sheet&igshid=7ca3bay59ciw
Twitter: https://twitter.com/TanTaxiTanzania?s=09

TANTAXI, FAHARI YA WAZAWA!!

TanTaxi Driver Screenshots

More from Tan Taxi