TanTaxi Passenger icon

TanTaxi Passenger

Tan Taxi
Free
1,000+ downloads

About TanTaxi Passenger

Pakua App ya TanTaxi ikuwezeshe kuomba usafiri wa Haraka, Nafuu na Salama kwa Taksi, Bajaji na Bodaboda wakati wowote na popote Tanzania!

1. Pakua app play Store au App Store na Jisajili ni hatua mbili tu.
2. Omba usafiri kwa kuandika sehemu unayokwenda. App itatambua sehemu ulipo.
3. Chagua aina ya usafiri iwe Boda, Bajaji, Standard au Van.
4. Wasiliana na Dereva safari ifanyike.
5. Lipia kwa cash au TanTaxi Wallet na mpe nyota dereva.

Download TanTaxi App to request Faster, Cheaper & Safer trip using Taxi, Bajaji & Bodaboda anytime & anywhere across Tanzania!

Call us: 0777 11 50 54
E-mail: general@tantaxitanzania.com
Web: www.tantaxitanzania.com

TanTaxi Passenger Screenshots

More from Tan Taxi