Ajira Faster
Enovatz
500+
downloads
Free
AppRecs review analysis
AppRecs rating 4.8. Trustworthiness 75 out of 100. Review manipulation risk 20 out of 100. Based on a review sample analyzed.
★★★★☆
4.8
AppRecs Rating
Ratings breakdown
5 star
100%
4 star
0%
3 star
0%
2 star
0%
1 star
0%
What to know
✓
Low review manipulation risk
20% review manipulation risk
✓
Credible reviews
75% trustworthiness score from analyzed reviews
✓
High user satisfaction
100% of sampled ratings are 5 stars
About Ajira Faster
Tanzania Jobs – Jobs Search App ( Ajira Faster) is committed to bring to you daily the list of new jobs from trusted sources.
This jobs search App is a one-stop destination for jobseekers and professionals who are looking to work in Tanzania. Applying the latest Jobs in Tanzania is now very easy process right on your mobile phone anywhere.
Unatafuta kazi? Ajira Faster ni programu ya kuaminika inayokusanya nafasi mpya za kazi kutoka vyanzo mbalimbali vyakuaminika. kama vile sectors binafsi, kutoka kwa wajasiriamali, wafanya biashara, na matangazo ya kampuni mbalimbali nchini Tanzania.
Tuma maombi kwa haraka kupitia WhatsApp au Email bila usumbufu!
Sifa Kuu za Ajira Faster:
Tuma maombi kwa WhatsApp au Email moja kwa moja
Pokea arifa za ajira mpya (job alerts) kila siku
Ajira kwa graduates, freshers, freelancers na watu wenye uzoefu na wasio na uzoefu
Chuja kazi kwa mikoa, sekta, au aina ya ajira (Online/Offline)
Muonekano rahisi, matumizi mepesi, na bila matangazo ya kusumbua
Aina za Ajira Unazoweza Kupata:
Ajira za Elimu & Ualimu
Ajira za Afya & Uuguzi
Uhasibu, Fedha & Utawala
Mauzo & Masoko
IT & Teknolojia ya Habari
Udereva & Ujenzi
Ajira za NGOs, na Makampuni Binafsi
Ajira za muda (part-time) & za kudumu (full-time) yani, ajira kwa wote, ajira zote. waliosoma na wasiosoma.
⚠️ IMPORTANT NOTE:
SOURCE OF GOVERNMENT JOBS:
https://portal.ajira.go.tz/ - This is the Official Government Job Portal.
🛑 Angalizo Muhimu:
Hatuchukui malipo yoyote kupata kazi. Ajira zote zinatoka kwenye vyanzo vya kuaminika. Tafadhali epuka mtu yeyote anayekuomba malipo ili upate kazi.
Ajira Faster haina uhusiano wowote na taasisi za serikali.
Pakua Ajira Faster sasa na uanze kutuma maombi ya kazi kwa haraka, kwa urahisi, na bila longolongo. Ajira sahihi mkononi mwako.