Sasa ni rahisi kuendesha biashara yako ukiwa na DUKA SMART POS App. App hii inakusaidia ku scan QR code na Bar code za bidhaa zako na kusajili katika mfumo. Kisha ukiwa unauza unakuwa una scan tu bidhaa unazouza. Pata repoti mbalimbali za biashara yako kiurahisi.
Show More