Upeo | Elimu mtambuka icon

Upeo | Elimu mtambuka

Dau Technology LLC
Free
100+ downloads

About Upeo | Elimu mtambuka

Mfumo wa elimu unatakiwa kuendana na mabadiliko halisi ya teknolojia. Upeo itakuwezesha kujifunza masomo kwa njia ya video.
Katika upeo utapata masomo kama vile:
Biology form I-VI
Bookkeeping form I-VI
History form I - VI
Civics form I - VI
Chemistry form I - VI
Commerce form I - VI
English form I - VI
Geography form I - VI
Kiswahili form I - VI
Mathematics form I - VI
Physics form I - VI
Pia kuna kozi za computer kama:
Computer graphics
Computer applications
Computer hardware
Computer networking
Computer programming
Text editors
Computer security and more.
Pia kuna kozi kama:
Mapishi
Udereva, Ujasiriamali na mengineyo.

Karibu tuongeze upeo wa ufahamu wako.

Upeo | Elimu mtambuka Screenshots