Mafundisho App icon

Mafundisho App

Elly's Brand
Free
100+ downloads

About Mafundisho App

Mafundisho App imetengenezwa ili kushare mafundisho ya Neno la Mungu kutoka kwa watumishi mbalimbali yenye lengo la kukuza imani yako na kukusaidia katika safari ya kumjua sana Mwana wa Mungu yaani Yesu Kristo ili uzidi kujengwa katika imani yako. Ndani ya App hii utaweza kusikiliza masomo kwa njia ya video na sauti lakini pia unaweza kupata tafakari ya siku na mengine Mengi.