MwanamkeApp
Hii ni App kwaajili ya Wanawake wote tunaweza pia kuiita mtandao Salama kwa wanawake wenye lengo la kusherehekea mafanikio ya wanawake kijamii
MwanamkeApp Ina features za kidini kwa kuzingatia imani zote (Islam/christian)
MwanamkeApp Ina features nyingine kama
-Mtoko ( kwaajili maeneo ya kwenda kutuliza akili, spa/camping/utalii wa ndani)
-Mchongo (kwaajili ya uwekezaji,uwezeshwaji,nafasi za kazi zilizo na jinsi ya kuzifikia)
-Binti Makini ( wana vyuo, mambi ambao wanapambanio ndoto zao)
-My body (kwaajili ya mazoez na diet)
-Mama K (kwaajili ya mama wajawazito)
-Your day ( kwaajili ya Waliochumbiwa na harusi pamoja na wanaohusika na sherehe za ndoa kiujumla (vendors)
MwanamkeApp itasaidia pia mtumiaji kujua mashirika yaliyopo Nchini yanayoshughulika na maswala ya wanawake ili akiwa na tatizo ajue anaenda wapi au anamsaidia Mwanamke mwenzie kwenda wapi kwakua wanawake wengi wamekaa ndani wakikumbatia matatizo kwakua hana mtu wa kuongea naye mbali na familia ambao wengi familia zetu zinatafsiri kuongelea tatizo kila siku ni udhaifu (shhhhhhhhhhh yandani hayasemwi 🤦🏽♀️)
MwanamkeApp tunapost kila jema lililofanywa na Mwanamke,, hivyo popote Mwanamke akifanya jambo lake sisi tutaungana naye kumpongeza kama chachu kwa wengine kusimama na kuthubutu.
Download MwanamkeApp Uwe inspired #weposttoinspire

Show More