Ufugaji wa Kuku Kitaalamu icon

Ufugaji wa Kuku Kitaalamu

Mshindo Media
Free
10,000+ downloads

About Ufugaji wa Kuku Kitaalamu

Ni App ambayo inatoa elimu juu ya ufugaji wa kuku aina zote kitaalamu

Kupitia App hii utapata maelekezo rahisi na sahihi ya kutatua changamoto mbalimbali za ufugaji kuku ,ikiwemo Malezi ya vifaranga, ujenzi wa banda sahihi, Magonjwa , chanjo, vyakula vya kuku, masoko ya bidhaa zitokanazo na kuku, utotoleshaji wa mayai N.k

Kupitia App hii utaweza kuuliza maswali kwa mtaalamu wa Kuku na utajibiwa moja kwa moja kupitia , Instagram, Twitter, Facebook, YouTube na Simu ya maongezi.

Ufugaji wa Kuku Kitaalamu Screenshots