Application inayoruhusu viongozi wa makanisa kuposti makanisa. Ukijisajili unachagua kanisa lako ambalo utapata huduma zake kama vile matangazo ya kawaida, matangazo ya ndoa, harambee, unaweza kutoa ushuhuda, sala mbalimbali na tafakari la neno la Mungu. Michango ya kanisa ikiwa ni sadaka na ahadi vyote vitarekodiwa na viongozi wa makanisa na watajua mapato ya kila week. Ni mfumo mzuri kupata taarifa za kanisa muda wote kiganjani kwako.
Show More