Hama Kituo icon

Hama Kituo

Hilo Technologies
Free
1,000+ downloads

About Hama Kituo

Sifa za Hama Kituo App
- Wanaoposti wanaandika mkoa, wilaya wanazopatikana na namba za simu
- Unaweza kuandika sifa zako sehemu ya mwalimu au muuguzi
- Unaweza kutafuta mkoa unaotaka kuhamia na utaona list ya wafanyakazi wa mkoa huo wenye sifa unazozihitaji na wanaohitaji kuhama vituo vyao.
- Unaweza ku-share post kwenye mitandao ya kijamii
- Kujisajiili ni bure na kuposti ni bure.
- Utahitaji internet wakati wa kujisajili
- Unaweza kufuta posti uliyoiweka
- Baada ya kuingia na kuona posti basi muda mwingine hata bila internet posti zinabakia unaweza kutafuta mkoa na kuona list.

More from Hilo Technologies