Kama wewe ni mshairi ama unajifunza ushairi wa Kiswahili, Kamusi la Vina au Kamusi ya Vina ni app itakayokusaidi kuandika shairi lako kwa wepesi kwa kukupa baadhi ya vina pale utakapokwama.
Zingatia, app hii ni kwa ajili ya kukusaidia, na sio kwamba ni kila unachohitaji katika kujifunza ushairi.
Zingatia, app hii ni kwa ajili ya kukusaidia, na sio kwamba ni kila unachohitaji katika kujifunza ushairi.
Show More