Kutokana na watu wengi kuchukua muda mrefu ili kupiga USSD kwenye
simu zao, na wengine kutokujua kabisa baadhi ya huduma za USSD
kwenye mitandao yao.
App hii itarahisishia watu kupiga USSD code, na pia kwa wasio jua
baadhi ya USSD code za mitandao yao wataziona huduma wanazotaka
na watazipata kwa urahisi.

Show More