Rooms Market icon

Rooms Market

Derek Julius
Free
5+ downloads

About Rooms Market

Hii ni app kwa ajili ya kukodisha vyumba au nyumba mahali utakapo,
vyumba vimepangiliwa kwa mitaa na kuna orodha ya mikoa & wilaya
ambayo imemrahisishia mtumiaji kupata chumba anachotaka kwa urahisi.
Kutegemeana na upatiakanaji wa vyumba/nyumba mahali utakapo chagua
utaona orodha ya vyumba/nyumba zote zilizopo wazi kwa ajili ya kukodisha,
kisha utawasiliana na mhusika.

Rooms Market Screenshots