Maduka Yetu icon

Maduka Yetu

Nyayo Zangu Labs
Free
500+ downloads

About Maduka Yetu

Maduka Yetu inarahisisha upatikanaji wa Biashara Mtandaoni.

MadukaYetu inaorodhesha Huduma na Bidhaa kwenye jamii yetu kwa ajili ya Watu Wetu!

Kwa Muuzaji: Fikia soko kwa upana zaidi.nMadukaYetu, ni ya Watu Wetu, kwenye jamii yetu!
Kwa Mteja: Unacho kipenda, ndicho unacho kiona. MadukaYetu inajifunza tabia zako, na kupendekeza kulingana na mahitaji yako.

Karibu.

Maduka Yetu Screenshots