Ufugaji na Matibabu Vet icon

Ufugaji na Matibabu Vet

Mshindo Media
Free
50,000+ downloads

About Ufugaji na Matibabu Vet

Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.

Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.

Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum ya www.animalscience.care. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comments.

Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.

Mawasiliano.
Email: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: 0762 799 080
Website:
https://animalscience.care/

NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.

Ufugaji na Matibabu Vet Screenshots