Mila za Wavidunda icon

Mila za Wavidunda

Pioneer Bible Translators (East Africa Branch)
Free
5,000+ downloads

About Mila za Wavidunda

Muye na msangalale moloko kuli app ayi ya Chividunda

App hii ina:
*Kamusi ya maneno ya Kividunda
*Tafuta maneno katika Kiswahili, Kingereza, au Kividunda
*Soma hadithi saba asilia katika Kividunda, Kiwahili, au Kingereza
*Hadithi zinasomeka kwa sauti
*Pata Biblia katika Kividunda inaosomeka kwa sauti pia

App hii imetegenezwa na Wavidunda na Pioneer Bible Translators. Asante sana kwa Damas Rulenga kwa kazi zake zirefu kwa watu wa kabili lake.

Come and celebrate with this Vidunda app.

This app includes:
*Dictionary of Vidunda words
*Search the dictionary in English, Swahili, or Vidunda
*Read seven traditional Vidundan stories
*These stories are read aloud in Vidunda
*There's also a link to the Vidunda Bible app which includes audio

This app has been produced by the Vidunda people and Pioneer Bible Translators. Special thanks to Damas Rulenga for his years of hard work and dedication to his people.

Mila za Wavidunda Screenshots