BataDaily icon

BataDaily

ChapaKazi
Free
50+ downloads

About BataDaily

Batadaily ni sehem pekee utakapopata taarifa za maeneo yote mazuri ya shangwe mjini kila siku...

Sisi tunaamini kwamba bata ni kila siku uliyojaliwa na Mungu, hivyo hakuna siku maalamu ya shangwe bali shangwe ni daily...

Ukiwa batadaily utajua sehemu zote zenye misosi mitamu, promo na mziki mkali, bila kusahau zile sehemu za mahaba...

Pia batadaily itakuwa ikiandaa events kuntu sana kila wiki zenye vibe kali, hivyo kutakuwepo na shangwe la pamoja kwaajili ya wala bata wote.

Kama wewe unamiliki sehemu yoyote ya bata, fursa hii ni yako kuhudumia wala bata kwa ustadi.

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

BataDaily Screenshots