Attamayyuz ni mtandao wa kiislamu ulioanzishwa kwa lengo la kuulingania uislam, kuwaelimisha waislam ili waijue dini yao kwa usahihi kupitia kitabu kitukufu cha Quran na mafundisho sahihi ya Mtume Swallallahu alayhi wa sallam (Sunah). Mtandao utatumika katika kutawanya duruus, makala, vitabu, nasaha na mawaidha ya mashekhe na wanafunzi mbalimbali waliosoma nchini Saudi Arabia, Yaman, Afrika Mashariki na kadhalika wenye itikadi na manhaji sahihi.
Show More