Nuru na Iangaze Radio
Redio Hii Iko Chini Ya kanisa La Nuru Angavu, Ambalo Dhima Zake ni Kupeleka Nuru Ya Injili Kila Mahali Kadiri Ya Mapenzi Ya Mungu, pia Kugusa Maisha Ya Watu Wenye Uhitaji Mbalimbali, Maudhui Makuu ya Redio Ni Kurusha Vipindi Mbalimbali vya Mahubiri Tofauti, Ibada Kuu za Jumapili pamoja na Ibada zing