Peruzi
Peruzi inakusaidia kukuletea habari kutoka mitandao tofauti tofauti kwenye simu yako kwa urahisi zaidi. Huna tena haja ya kutembelea mitandao tofauti tofauti kupata habari zilizojiri. Peruzi hupitia mitandao mingi maarufu mara kwa mara kuangalia kama kuna habari mpya na ikipata inakusogezea kwenye