Kitabu cha swala ya maiti
Kitabu cha swala ya maiti, mirathi ya kiislam pamoja na wosia. Kitabu hiki kinakupa muongozo juu ya mambo ya kheri na siyo kheri yanayopaswa kumfanyia maiti. Baadhi ya yaliyomo katika kitabu hiki cha swala ya maiti ni hatua kwa hatua za kumuandaa na kumswalia maiti, kumkafini maiti, sala ya jeneza,