sokonisasa
App hii inawaunganisha WAZALISHAJI wa mazao ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, WANUNUZI wa mazao hayo, WASAFIRISHAJI wa mazao hayo, MADUKA YA PEMBEJEO, TAASISI ZA FEDHA na za Kiraia (NGO), VYUO vya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na WATAALAMU wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi katika mikoa yote TANZANIA. App hii inawezas