Twende
Omba usafiri upate dereva ndani ya dakika chache kupitia Twende. Tunakupa chaguo la usafiri wa aina tatu, Gari , Bajaj au Bodaboda, yoyote inayokidhi haja yako. 1. Pakua 'Twende' bure, kisha kamilisha usajili 2. Twende ina uwezo wa kutambua eneo ulilopo, kazi yako ni kutaja unapotaka kwenda, kisha u