Twende dereva

Twende dereva icon

Twende dereva

Twende Technologies Ltd

About Twende dereva

Dereva yeyote aliyesajili Taxi, Bajaj au Bodaboda yake nasi anaweza kutumia kupata abiria kwa ufanisi zaidi
Chagua Twende Dereva Sasa!

1. Pakua 'Twende Dereva' bure, kisha kamilisha usajili na vibali vya chombo chako.
2. Tutakuweka kwenye ramani kisha utaanza kupokea maombi ya abiria
3.Abiria atalipa nauli kwa fedha taslimu au kwa simu kulingana na muda pamoja na umbali.
4. Thaminisha na toa maoni kuhusu abiria na safari kwa ujumla

Kwa taarifa zaidi tembelea www.twende.co.tz
Twende dereva Screenshots
Screenshot 1Screenshot 2Screenshot 3Screenshot 4Screenshot 5

Tap to Rate:

More from Twende Technologies Ltd
Similar to Twende dereva
More from Twende Technologies Ltd

©2023 Verdant Labs LLC. All rights reserved.

Privacy PolicyContact