Shule Direct Kids
Shule Direct Kids ni app iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzania. App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya