Maombi na Maombezi icon

Maombi na Maombezi

Mshindo Media
Free
10,000+ downloads

About Maombi na Maombezi

Maombi na Maombezi ni App inayokupa nafasi mtumishi wa Mungu kukutana na Maombi ya moja kwa moja kupitia simu yako ya mkononi,Utaweza kubarikiwa ukiwa nyumbani kupitia Watumishi wa bwana wa kimataifa Kutoka Tanzania na Mataifa mbalimbali Mungu akafanyike Ndani ya Moyo wako sasa,
Mungu hawahi wala hachelewi.
Barikiwa na App yako ya Maombi na Maombezi ukue kiroho na kupata kupona

Maombi na Maombezi Screenshots