AppRecs review analysis
AppRecs rating 1.7. Trustworthiness 52 out of 100. Review manipulation risk 28 out of 100. Based on a review sample analyzed.
★☆☆☆☆
1.7
AppRecs Rating
Ratings breakdown
5 star
17%
4 star
0%
3 star
0%
2 star
0%
1 star
83%
What to know
⚠
Mixed user feedback
Average 1.7★ rating suggests room for improvement
About CCM_App
Mfumo unasaidia mwanachama wa ccm kujisajili na kuangalia taarifa zako za usajili,kuona historia yake ya malipo (ada za uwanachama na michango mbalimbali)
CCM_App Screenshots
Tap to Rate:
Reviews for CCM_App
Fuvile
Wekeni NAMBA YA HUDUMA
App haina namba ya Huduma kwa Wateja. Kuna muda inafail kulog-in tunashindwa cha kufanya.
dr magram
Huduma ya kujisajili
Huduma ya kujisajili kwa wale tunaotaka kujiunga na chama tukiwa nje ya nchi kupitia ccm app haipo supportive no ya simu inayohitajika kujiunga ni lazima ya TZ , inahitaji maboresho kwenye usajili wa wanachama wapya wa diaspora