Lokole App icon

Lokole App

CHARLES CHARLES

1.0

store rating

Free

About Lokole App

Endelea kuwa na habari moto moto kutoka Tanzania na kwingineko!
Lokole ni app yako ya uhakika kwa udaku wa papo kwa papo, habari za mastaa, na mijadala inayotrend. Kuanzia drama za mastaa hadi matukio ya kitaifa, Lokole inakuletea kila kitu moja kwa moja kwenye simu yako.

Habari zote katika Lokole zinahitaji uanachama ili kufikiwa.

Ili kufikia maudhui yote ya habari, udaku, na mijadala, unahitaji kujisajili kwa kifurushi cha Pro Access.

Hakikisha unapata taarifa zote zinazojiri kwa urahisi kwa kulipia kifurushi cha uanachama.

Vipengele vya kulipia (Uanachama):

Kifurushi cha miezi 1 kwa 2200 TZS.

Kifurushi cha miezi 3 kwa 6900 TZS.

Kifurushi cha miezi 6 kwa 11500 TZS.

Kifurushi cha mwaka kwa 22900 TZS.

Jinsi ya Kulipa na Kufikia Maudhui:
Ili kufikia vipengele vyote vya Lokole, tafadhali chagua kifurushi kinachokufaa na lipa kupitia Apple In-App Purchase.

Tafadhali soma:
Masharti ya Matumizi (EULA): Hapa utapata masharti ya matumizi ya app hii. https://www.apple.com/legal/internet-services/itunes/dev/stdeula/

Sera ya Faragha: Hapa utapata taarifa kuhusu jinsi tunavyokusanya, kutumia, na kulinda taarifa zako.https://pay.lokoleapp.online/iprivacy-policy

Kwa mazungumzo ya kirafiki, kufurahiya habari mpya za udaku, na kujua kila kilicho moto, Lokole inakupa habari zote kali — bila kuchuja.
Pakua Lokole sasa na usipitwe na yanayojiri!
More from CHARLES CHARLES
Similar to Lokole App
More from CHARLES CHARLES

©2023 Verdant Labs LLC. All rights reserved.

Privacy PolicyContact