Magazeti ya Tanzania
Pata habari zote kutoka magazeti ya Tanzania zikiwemo habari za michezo, elimu, Ajira na burudani kiganjani mwako. Magazeti ya Tanzania ni app rahisi sana kutumia na haitakumalizia bando lako, unachotakiwa ni kuipakua tu, na baada ya kupakua utapata habari zote mpya za kimichezo na Burudani, Elimu n