Ufugaji wa Kuku Kitaalamu
Ni App ambayo inatoa elimu juu ya ufugaji wa kuku aina zote kitaalamu Kupitia App hii utapata maelekezo rahisi na sahihi ya kutatua changamoto mbalimbali za ufugaji kuku ,ikiwemo Malezi ya vifaranga, ujenzi wa banda sahihi, Magonjwa , chanjo, vyakula vya kuku, masoko ya bidhaa zitokanazo na kuku,