Found 20 search results.
biblia takatifu ya kiswahili
Biblia ya kiswahili yenye tafakari ya neno la kila siku, download free kwa kupata mistari ya kila siku, neema juu yenu.
Tenzi Za Rohoni
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote. Sifa za program ni kama zifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafut
Radio Uhai
Redio Uhai ni kituo cha Ukristo kinachotanganza kwa lugha ya Kiswahili kinachopatikana Tabora, Tanzania. Katika masafa ya 94.1 FM. Kituo hiki cha redio kina kusudi kuu la kuhubiri habari njema ya injili ya Yesu Kristo na kucheza nyimbo zenye heshima kwa Mungu. Hivi sasa, kuna vipindi zaidi ya thela
Tafakari Injili
Hii ni app ambayo imeandaliwa mahususi kwa lengo la kusaidia mkristo kukua kiroho kupitia vipengele mbalimbali vilivyo jumuishwa ndani yake ikiwa ni pamoja na Kipengele cha : 1:Aya Za Biblia Hapa tunapata Aya mbalimbali za Biblia zilizowekwa kwenye makundi mbalimbali kama vile Aya zinazohusu Amani,
Neno Barbearia
With the Neno Barbearia app it's easier for you to schedule your appointment with us. Download now and have all the benefits of a vip client in the palm of your hand
YendaNafe
Malawians face a daunting HIV epidemic and high rates of infant and maternal mortality, while quality care is scarcely available or unaffordable for most people. Those who can pay for treatment are often unable to reach clinics, especially over mountainous terrain and barely passable roads in remote
Neno App na Mwl. Francis M. La
App hii ni maalum kwajili ya ku-share Mafundisho ya Neno la Mungu kutoka Mchungaji na Mwalimu, Francis M. Langula.
Neno la Uzima
This app gives you various Bible verses to read and meditate on the greatness of God and you can deal with your friends, relatives or relatives.
Neno Bazar
Neno Bazar is a Official Apps of Neno Bazar, Best online Shop in Barisal. It is a Best place for buying goods in Barisal
LORI SONG HINDI
THIS APP WILL HELP YOU TO SLEEP YOUR BABY. APP CONTAINS VARIOUS SONGS WITH LYRICS. YOU CAN SING SONG ALONG WITH. ALL SONGS ARE FREE. YOU CAN FIND THESE SONG IN THIS APP. SUN SUN NANHE LORI KI DHUN AAJA NINDIYA RANI AAJA AA LEKE CHALOON MEIN TUJHKO CHANDA HAI TU MERA SURAJ HAI CHANDAN KA PALNA CHHOT
Katekisimu Ndogo
Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki, App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998. Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu
OGS (Online Gospel Sermons)
OGS (Online Gospel Sermons) Tunafundisha neno la MUNGU online na kuwaombea watu wenye shida mbalimbali (Mathayo 4;4) we serve living God, Get the word to move every day
Fumbo
Je, unapenda mchezo wa kutumia akili. Fumbo ni mchezo unaokufanya uchangamshe ubongo kwa kukupa nafasi sita za kukisia neno la kiswahili na kuweza kushare na marafiki zako kila siku. Sio hivyo tu, mtu wa kwanza kupata jibu sahihi kila siku atajishindia zawadi kutoka kwetu.
Tenzi za Rohoni (Toleo Jipya).
Tenzi za Rohoni Toleo Jipya Kimeboreshwa sasa Unaweza kusoma Nyimbo za injili 161 bila kuwa na intaneti (Offline) App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote. App hii ina nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi
Biblia agano la kale na jipya
Biblia takatifu ni Ni mkusanyiko wa vitabu 73 vya maandiko matakatifu vilivyoandikwa na watu tofauti waliovuviwa roho mtakatifu kwa nyakati tofauti tofauti. Pia utaweza kujifunza mambo mbalimbali kuhusu biblia takatifu ikiwemo kupata neno la kila siku. Biblia ni habari njema kwa wenye utii kwa bwana
Neno: Network from Anywhere
Meaningful connections come first. All connections are made with conversations started by answering prompt questions chosen by each user or by commenting on any item of a user profile, "I don’t know what to say” is a memory of the past. Showcase yourself, Chat with video, audio or text, all the t
Makanisa App
Application inayoruhusu viongozi wa makanisa kuposti makanisa. Ukijisajili unachagua kanisa lako ambalo utapata huduma zake kama vile matangazo ya kawaida, matangazo ya ndoa, harambee, unaweza kutoa ushuhuda, sala mbalimbali na tafakari la neno la Mungu. Michango ya kanisa ikiwa ni sadaka na ahadi v
Biblia Takatifu ya Kiswahili
Biblia ya kiswahili yenye tafakari ya neno la kila siku, download free kwa kupata mistari ya kila siku, neema juu yenu.
Kijapani Kutoka neno neno neno
The Japanese word dictionary can be used for your trip to Japan and learn. This app uses GOOGLE text-to-speech. You can view Thai language and pronunciation. This app is useful to travel and store 1,000 words with sound. Just push or point your fingers then you can listen to the sound. Please pla
Swahili Words
Je, ni kwa namna gani upo mahiri kwenye lugha ya kiswahili ? Tumekuletea Swahili Words Ni mchezo (game) ambao utapewa herufi nyingi, kisha utahitajika kuunganisha herufi hizo na kuunda neno lenye maana. Ni mchezo rahisi lakini inahitaji upeo wa kufikiri ili kuweza kufanya kwa usahihi. Ni mchezo mzur