Found 20 search results.

Swahili-Eng - Biblia Takatifu icon

Swahili-Eng - Biblia Takatifu

Swahili-English Bible (Biblia Takatifu) inakuwezesha kusoma neno la Mungu kwa urahisi mahali popote. Swahili-English Bible (Biblia Takatifu) it enables you to read a word of God easily anywhere.

Nyimbo Za Kristo icon

Nyimbo Za Kristo

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS (TAP). Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia y

Tenzi Za Rohoni icon

Tenzi Za Rohoni

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote. Sifa za program ni kama zifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafut

Police Diary icon

Police Diary

Programu hii itamwezesha mtumiaji kufikia makala/vitabu mahali popote alipo, kisha ataweza kuinunua makala/kitabu hicho.

Tenzi za Rohoni (Toleo Jipya). icon

Tenzi za Rohoni (Toleo Jipya).

Tenzi za Rohoni Toleo Jipya Kimeboreshwa sasa Unaweza kusoma Nyimbo za injili 161 bila kuwa na intaneti (Offline) App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote. App hii ina nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi

Nuru na Iangaze Radio icon

Nuru na Iangaze Radio

Redio Hii Iko Chini Ya kanisa La Nuru Angavu, Ambalo Dhima Zake ni Kupeleka Nuru Ya Injili Kila Mahali Kadiri Ya Mapenzi Ya Mungu, pia Kugusa Maisha Ya Watu Wenye Uhitaji Mbalimbali, Maudhui Makuu ya Redio Ni Kurusha Vipindi Mbalimbali vya Mahubiri Tofauti, Ibada Kuu za Jumapili pamoja na Ibada zing

Zoravo Upo Kila Mahali icon

Zoravo Upo Kila Mahali

We provide what loyal users of our app ask for and like. We try to satisfy you by providing the best work we can do. Disclaimer : The content in this application is the result of collection and does not belong to us personally. All for entertainment and knowledge purposes only. If you feel aggriev

InfoTaaluma Mzazi icon

InfoTaaluma Mzazi

InfoTaaluma Mzazi App ni program inayomsaidia mzazi kufuatilia maendeleo yote ya mtoto wake kutoka shule mahali popote atakapokuepo kama vile Mahudhurio ya darasani,Matokeo ya mitihani,ripoti za mihula,Namba za walimu wake,Ratiba ya darasa na Kuangalia malipo na kulipia michango yote shuleni

Faili La Kudownload Nyimbo icon

Faili La Kudownload Nyimbo

Faili la kudownload nyimbo ni programu bora kwa wapenzi wa muziki wanaotaka kudownload na kusikiliza nyimbo moja kwa moja kwenye simu zao. Programu hii inakuletea urahisi wa kupata nyimbo zako pendwa na kuzipakua kwa ajili ya kusikiliza wakati wowote na mahali popote. Utaweza kudownload nyimbo za Au

Mamlaka Media icon

Mamlaka Media

Tumekuletea app inayokuwezesha kuweza kusikiliza neno la Mungu wakati wowote na ukiwa mahali popote.

Rooms Market icon

Rooms Market

Hii ni app kwa ajili ya kukodisha vyumba au nyumba mahali utakapo, vyumba vimepangiliwa kwa mitaa na kuna orodha ya mikoa & wilaya ambayo imemrahisishia mtumiaji kupata chumba anachotaka kwa urahisi. Kutegemeana na upatiakanaji wa vyumba/nyumba mahali utakapo chagua utaona orodha ya vyumba/nyumba z

Shajara icon

Shajara

Shajara ni mfumo unaokuletea masomo ya misa ya kila siku, sala mbalimbali za kanisa katoliki na historia za watakatifu kiganjani mwako ili uweze kusoma neno la Mungu kila siku na pia kusali kumuomba na kumshukuru Mungu wakati wowote na mahali popote.

Tafsir Jalalain icon

Tafsir Jalalain

Book Jalalain is a book of commentary that interprets l-Qur'an al-karim, a phenomenal work and is very well known among scholars, especially scholars' syafi'iyyah because its authors are followers of Imam Shafi'i schools. Book Jalalain this is a work of two of the high priest. Any interpretation of

Mahali محلي icon

Mahali محلي

تطبيق محلي هو تطبيق مجاني لإدارة المخزون يساعدك على تسجيل وتتبع المنتجات المخزنة والمباعة وتحديث مستويات المخزون الخاصة بك. يمكنك إدارة مخزونك بكل سهولة من خلال واجهة مستخدم سهلة الاستخدام وتقارير مفصلة. يمكن لمستخدمينا أيضًا إضافة الموردين والعملاء وتتبع المعاملات وتحديثات الأسعار وإنشاء الفواتير.

My Kantini icon

My Kantini

MY KANTINI ni application mahususi kwa ajili ya wanavyuo katika vyuo mbalimbali nchini Tanzania inayompa nafasi mwanachuo kuagiza chakula ama kinywaji vinavyopatikana katika kantini ya chuo chake na kuletewa mahali na wakati wowote katika mazingira yake ya chuo kwa gharama nafuu na kwa kufuata bei

Weka Sokoni icon

Weka Sokoni

Weka Sokoni ni app ya ma tangazo ambayo inaruhusu watumiaji kununua kutoka na kuuza kwa wengine wa karibu. Unaweza kutumia Weka Sokoni kujadili, kununua au hatimaye kutoa bure vitu ambavyo hauitaji nyumbani kwako. Wauzaji wataposti bidhaa zao na kungojea mnunuzi awasiliane nao. Mara tu mawasiliano

Mabali Driver icon

Mabali Driver

Mahali's courier app gives business couriers an easy way to manage their shipments with the business

SMPIT Auladul Mahali icon

SMPIT Auladul Mahali

Undefined School Platform Application that already supports: - Face-to-face Hybrid School and Distance Learning - Attendance for both face-to-face and distance learning classes - Teaching materials owned by the teacher, both ebooks, videos and videos - Curriculum books used by schools - Textbooks -

FPCT Ushindi Choir Igoma icon

FPCT Ushindi Choir Igoma

FPCT Ushindi Choir Igoma tumekusogezea app yetu ambayo itakuwezesha kutizama Video za nyimbo zetu muda wowote na mahali popote pale ulipo

Hustler - For Businesses icon

Hustler - For Businesses

Hustler ni App la biashara la B2B linalohudumia wauzaji wa jumla na reja reja nchini Tanzania. App hii inakupa fursa ya kununua bidha zako za dukani, mda wowote, mahali popote, kwa bei chee. Wauzaji wajumla na rejareja wote wanaweza kuagiza na App ya Hustler. Rahisisha maisha yako na agiza bidhaa

©2023 Verdant Labs LLC. All rights reserved.

Privacy PolicyContact